Disciples' Network


Think Act, Be Like Jesus.

May’s Newsletter


May's Newsletter

Tunakusalimu katika jina la YESU Kristo! Tunamshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuumali- za mwezi Mei (mwezi wa uinjilisti) kwa ushindi. Ndani ya mwezi Mei, Mungu ametuwezesha kuwa na matukio mengi ya baraka katika majiji ya Dar es Salaam, Mwanza na Arusha. Baadhi ya matukio ni Mafunzo ya Utumishi yaliyoambatana na ubatizo jijini Arusha, fellowship za kati kati ya wiki na kila Jumamosi, mikesha ya kila Ijumaa kwa njia ya mtandao, mafundisho ya neno la MUNGU, maombi kwa njia ya Google Meet pamoja na huduma ya ushauri na maombezi.
Vilevile tumefanikiwa kuwa na semina ya vijana wa kike na kiume wasio kwenye ndoa (Singles in the wait) iliyohudhuriwa na vijana 1,680 (1,560 walishiri- ki kwa njia ya mtandao)

Download May’s Newsletter