Disciples' Network


Think Act, Be Like Jesus.

JULY’S NEWSLETTER


Shalom mpendwa,
Tunamtukuza BWANA kwa kutujalia kuuingia mwezi wa nane tukiwa washindi tena. Kwa neema yake ametuwezesha kutoa huduma za kiroho, kiakili na kimwili kwa watu wa dini zote, rika zote na makabila yote, ndani na nje ya Tanzania kwa mwezi Julai 2023, kupitia njia mbalimbali na pasipo kuchoka wala kuzimia mioyo. Hakika tumeweza kwa sababu Mungu yupo pamoja nasi naye ametu- tia nguvu na kutushika kwa mkono wake hodari. (Isaya 41:10).

Download July’s Newsletter 2023