Disciples' Network


Think Act, Be Like Jesus.

Disciples' Network
OCTOBER NEWSLETTER

Warumi 8:37 “Lakini katika mambo hayo yote tunashinda, na zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda”. Bwana Yesu apewe sifa! Tunamshukuru Mungu ametuwezesha kushinda kwa kishindo, ndani ya mwezi Oktoba ambao ulikuwa ni mwezi wa ushindi wa vita vya kiroho na kimwili. Kwa msaada wa BWANA, tumeweza kuwahudumia watu wengi kiroho, kimwili, na kiakili ndani na […]

Disciples' Network November 3, 2023
May's Newsletter
May’s Newsletter

Ndani ya mwezi Mei, Mungu ametuwezesha kuwa na matukio mengi ya baraka katika majiji ya Dar es Salaam, Mwanza na Arusha. Baadhi ya matukio ni Mafunzo ya Utumishi yaliyoambatana na ubatizo jijini Arusha, fellowship za kati kati ya wiki na kila Jumamosi, mikesha ya kila Ijumaa kwa njia ya mtandao, mafundisho ya neno la MUNGU, maombi kwa njia ya Google Meet pamoja na huduma ya ushauri na maombezi.

Disciples' Network October 6, 2023
JULY’S NEWSLETTER

Shalom mpendwa, Tunamtukuza BWANA kwa kutujalia kuuingia mwezi wa nane tukiwa washindi tena. Kwa neema yake ametuwezesha kutoa huduma za kiroho, kiakili na kimwili kwa watu wa dini zote, rika zote na makabila yote, ndani na nje ya Tanzania kwa mwezi Julai 2023, kupitia njia mbalimbali na pasipo kuchoka wala kuzimia mioyo. Hakika tumeweza kwa […]

Disciples' Network October 6, 2023
newsletter
September’s Newsletter

Tuna kila sababu ya kumtukuza BWANA YESU kwa kutuwezesha kuumaliza mwezi wa tisa kwa ushindi na ushuhuda mkubwa. Kwa hakika tulikuwa na mwezi wa tisa mzuri ulioambatana na mfungo wa Danieli kwa siku 21.

Disciples' Network October 5, 2023